Wanafunzi wa chuo kikuu cha TUK waapa kuandamana tena alhamisi ijayo

  • | K24 Video
    51 views

    Wanafunzi wa chuo kikuu cha TUK wameapa kuandamana tena alhamisi ijayo licha ya kurushiwa vitoa machozi hii leo jijini Nairobi. Wanafunzi hao wanasema hawatasitisha maandamano hadi chuo chao kifunguliwe tena. Vile vile wamewashtumu maafisa wa polisi kwa kutumia nguvu huku wakisema hawana imani na serikali kuwa itatatua matatizo hayo. chuo kikuu cha tuk kimefungwa kwa zaidi ya wiki mbili sasa kufuatia kugoma kwa wahadhiri wanaolalamikia kutolipwa