Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wa kwanza wa CBC waanza mitihani ya kitaifa ya KJSEA na KPSEA

  • | KTN News
    2,653 views
    Duration: 3:36
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Kwa mara ya kwanza humu nchini chini ya mtaala wa elimu wa CBE, wanafunzi waasisi wa mtaala huo wameanza rasmi mtihani wao wa kitaifa wa gredi ya tisa (KJSEA) ambao utawapa fursa ya kujiunga na gredi ya 10 kwenye shule za sekondari. Aidha wanafunzi wa gredi ya sita nao wameanza kufanya mtihani wao wa kitaifa wa gredi ya sita (KPSEA). Zoezi hili muhimu linapima uwezo wa wanafunzi pamoja na maandalizi yaliyoekwa katika sekta ya elimu, huku wizara ikitoa hakikisho la utayari wake. Mitihani hii ya kitaifa inafanywa wakati bado kuna zogo kati ya wizara ya elimu na wakuu wa shule kuhusu kucheleweswa kwa mgao wa shule Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews