- 2 views
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanalalamikia kukwama kwa masomo yao, wakisema karo zao hazitatumika ipasavyo. Kulingana nao, wamesoma kwa muda wa wiki mbili tu tangu kuanza kwa muhula wao tarehe 26 mwezi jana. Hayo yakijiri muungano wa wahadhiri wa vyuo vikuu (UASU) umesema kuwa mgomo bado unaendelea baada ya mazungumzo na wizara ya leba kushindikana jana. Licha ya amri za mahakama zinazozuia wahadhiri kugoma, wafanyakazi hao wanashikilia msimamo wao hadi matakwa yao yote yatimizwe.
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanalalamikia kukwama kwa masomo yao
- - Duniani Leo ››
- 27 Nov 2024 - Donald Trump threatened to begin his presidency with a massive trade war -- and diplomatic crisis -- as he demanded China, Canada and Mexico stop illegal immigration and drug smuggling into the United States or face punitive US import tariffs.
- 27 Nov 2024 - Legislators wonder how an office built at a cost of Sh600 million, now requires refurbishment worth Sh560 million.
- 27 Nov 2024 - Mr Odinga has secured the support of seven out of the eight EAC nations.
- 27 Nov 2024 - Ceasefire to begin in Israel-Hezbollah war
- 27 Nov 2024 - Kamiti ordered to allow murder convict to finish master's course
- 27 Nov 2024 - Ruto steps up bid to secure Raila's backyard as their union blossoms
- 27 Nov 2024 - MPs question Sh1b refurbishment of DP residence under Gachagua
- 27 Nov 2024 - Pain of Mathare floods victims in bid to replace crucial documents
- 27 Nov 2024 - Let me join school, DusitD2 terror raid suspect tells court
- 27 Nov 2024 - Courts orders IEBC and State to place beacons in all 47 counties