Wanafunzi wa vyuo Garsen wapata ufadhili

  • | Citizen TV
    176 views

    Wakaazi wa eneo bunge la Garsen kaunti ya Tana River wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kufanikishwa kwa mpango wa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi zaidi ya 400 wanaojiunga na vyuo vikuu na vyuo vya ufundi.