- 178 viewsDuration: 2:59Umbali wa shule za msingi eneo bunge la Voi kaunti ya Taita Taveta umetajwa kuchangia matokeo duni kwani wanafunzi huchelewa wanapoenda shuleni kukata kiu ya masomo. Hata hivyo, wanafunzi wa shule ya msingi ya Sowa huko Saghalla wamepata afueni baada ya wahisani kuanzisha mradi wa kuwapa baiskeli ili wafike shuleni kwa wakati unaofaa.