Wanafunzi watalazimika kutafuta ufadhili mbadala baada ya kaunti kuzuiwa kutoa msaada

  • | NTV Video
    370 views

    Maelfu ya wanafunzi wa vyuo vikuu, shule za sekondari na vyuo anuwai na wanaotegemea ufadhili wa serikali za kaunti kuendeleza masomo yao, watalazimika kutafuta njia mbadala ya kujifadhili baada ya msimamizi wa bajeti Daktari Margaret Nyakang'o kuzizuia kaunti kufanikisha ufadhili huo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya