Wanahabari wa onyesha wana vituko wakati wa maandamano ya Jumatano hapa mjini

  • | NTV Video
    6,841 views

    Vimbwanga vilishuhudiwa katika msafara wa maandamano ya wanahabari Jumatano, kwa mtazamo wa wengi hata usingedhania kama wanahabari wana vituko wakati wanapopandwa na mori. mengi maajabu katika msafara huo hapa mjini Nairobi yamefuatiliwa kwa umakini angalau wanahabari wenyewe wajione namna walivyo wakiwa upande wa pili wa studio..

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya