Wanaharakati kutoka Kenya, Iran watetea haki za wanawake

  • | KBC Video
    26 views

    Wanaharakati wa masuala ya usawa wa kijinsia kutoka Kenya na Iran wanashinikiza kutekelezwa kwa usawa na haki kwa wanawake katika jamii. Wakati wa kongamano la siku moja lililoandaliwa na baraza la kitamaduni katika ubalozi wa Iran jijini Nairobi, waliohudhuria walisema inasikitisha kwamba haki za wanawake hazitiliwi maanani licha ya wao kutekeleza wajibu muhimu katika familia na jamii kwa jumla.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive