Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati wa Kenya waliozuiliwa Uganda waachiliwa

  • | KBC Video
    250 views
    Duration: 3:58
    Wanaharakati wawili wa Kenya waliotoweka nchini Uganda na kushukiwa kuzuiliwa na serikali ya Uganda wameachiliwa huru. Bob Njagi na Nicholas Oyoo walipelekwa kwenye kwa Ubalozi wa Kenya, baada ya siku 38 tangu walipotoweka katika hali ya kutatanisha. Shughuli hii ilishirikishwa na maafisa wa taifa hilo na mashirika ya kibinadamu. Walipowasili kwenye kituo cha mpaka cha Busia, walipokelewa na Kamishna wa Kaunti ya Busia, Chaunga Mwachaunga. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive