Kikundi cha wanaharakati walitumia nyoka mkubwa wa bandia kama nyenzo ya kufikisha ujumbe ndani ya ukumbi wa kongamano la COP 29 Ijumaa (Novemba 15) wakishinikiza kuwa watu wanaofanya ushawishi kwa niaba ya wachimbaji mafuta na gesi asilia katika mkutano huo kutolewa nje ambapo nchi mbalimbali zinajaribu kufikia makubaliano kuchukua hatua kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.
Ripoti ya Muungano wa kikundi cha Kick Out the Polluters Coalition ilisema zaidi ya washawishi 1,700 walikuwa wanahudhuria mkutano huo wa kila mwaka wa hali ya hewa. Mwaka 2023 kulikuwa na zaidi ya watu 2,400 waliokuwa wanafanya ushawishi kuhusu katika COP 28, lakini mahudhurio ya COP yalikuwa ni idadi kubwa zaidi kwa jumla. -Reuters
#cop29 #azerbaijan #fossilfuels #voaafrica #lobbyists #maandamano #voa #voaswahili
22 Dec 2024
- Two Chinese astronauts this week completed a world-record spacewalk of more than nine hours, according to a statement from China's Manned Space Agency, marking another milestone for Beijing's rapidly expanding space program.
22 Dec 2024
- The explosive story of how Nigeria’s most feared finance minister brought oil barons to their knees, demolished Nigeria's $11.2b corruption machine.
22 Dec 2024
- Incoming US president Donald Trump on Saturday slammed what he called unfair fees for US ships passing through the Panama Canal and threatened to demand control of the waterway be returned to Washington.
22 Dec 2024
- Three Committees at the National Assembly are set to commence the vetting process of Nominees nominated by the President to serve in various state offices upon Parliamentary approval. National Asse…