Wanajeshi wa DRC watuhumiwa kwa uporaji katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    15,627 views
    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo limeanza harakati za kuwatia nguvuni wanajeshi wa FARDC wanaotuhumiwa kuhusika na uporaji na ufyatulianaji wa risasi kiholela katika mji wa Uvira ulioko mashariki mwa nchi hiyo.