Wanamazingira kaunti ya Homa Bay waanzisha mchakato wa kuwahifadhi ndege aina ya korongo

  • | Citizen TV
    537 views

    Wanamazingira kutoka kaunti ya Homa bay wanahofia kupungua kwa ndege aina ya korongo ambao kwa muda mrefu wamekuwa kivutio kikubwa cha watalii katika eneo hilo. Sasa wameanzisha mchakato wa kuwahifadhi ndege hao, kwa ushirikiano na mashirika mbalimbali. James Latano na taarifa hiyo.