"Wanamgambo wa RSF walitaka kuniua, mwingine akasema tumbake"

  • | BBC Swahili
    153 views
    "Wanamgambo wa RSF walitaka kuniua, mwingine akasema usimuue tuwabake, nikasema mniue tu kabla ya kunibaka, walifanya walichotaka kufanya" Miaka miwili tangu kuanza kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan, BBC imefika katika moja ya miji ya Darfur ikiwemo Geneina ambapo athari za kibinadamu zimekuwa janga kubwa. #bbcswahili #sudan #RSF Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw