Kampuni za uchimbaji Jaribuni na Kalia Ng’ombe zapokonywa leseni

  • | NTV Video
    113 views

    Kampuni za uchimbaji madini zinazoendesha machimbo katika maeneo ya Jaribuni, na Kalia Ng’ombe Kokotoni katika maeneo bunge ya Ganze na Rabai mtawalia katika kaunti ya Kilifi ziko taabani baada ya serikali kufutilia mbali vibali vyao vya utendakazi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya