5 Nov 2025 10:17 am | Citizen TV 454 views Duration: 1:48 Mratibu wa usalama eneo la Nyanza Florah Mworoa ametoa onyo Kwa wakaazi katika eneo la mpakani wanaomiliki bunduki bila kibali.