- 7,554 viewsDuration: 1:41Unafahamu ni wanariadha wangapi wa Tanzania wamewahi kutwaa medali za dhahabu katika mashindano makubwa ya kimataifa. Wa kwanza alikuwa Filbert Bayi mwaka 1974. Anayevuma hivi sasa ni Alphonce Simbu, aliyeshinda dhahabu ya kwanza ya dunia kwa Tanzania kwenye mashindanobya ya dunia ya riadha huko Tokyo Japan. Mwandishi wa BBC Florian Kaijage anasimulia zaidi. 🎥: @frankmavura - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw