Wanasiasa akiwemo Rigathi Gachagua wazuiliwa kuzungumza kanisani Nyeri

  • | Citizen TV
    2,381 views

    Kwa juma la pili, wanasiasa akiwemo aliyekuwa naibu rais rigathi Gachagua wamenyimwa fursa ya kuwahutubia waumini wa kanisa la kianglikana, walipofika kuhudhuria ibada ya kutawazwa kwa askofu mpya wa dayosisi ya kianglikana mlima kenya Magharibi Gerald Muriithi