Wanawake wanao ugua ugonjwa wa nasuri waanza kupatiwa matibabu kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    126 views

    Wanawake 38 ambao wamekuwa wakiugua nasuri wanapokea matibabu ya bure katika hospitali ya rufaa kaunti ya Migori chini ya mpango wa kambi ya nasuri inayoongozwa na kampuni ya Royal Media Service, serikali ya kaunti ya Migori, wakfu wa Agnes Ochillo miongoni mwa washirika wengine.