Wanawake wengi bado wanajifungua nyumbani Migori

  • | Citizen TV
    118 views

    Kujifungua kwa wanawake nyumbani bado kunachangia vifo vya watoto wengi wanapozaliwa katika maeneo ya mashambani katika Kaunti ya Migori.