Wandani wa rais wasema wanaotekwa nyara wastahiki

  • | Citizen TV
    1,036 views

    Haya yalipokuwa yakiendelea nchini, wabunge na viongozi wanaounga mkono serikali wameunga mkono kukamatwa kwa vijana wanaotumia vibaya mitandao ya kijamii. Kiongozi wa wengi bunge la kitaifa Kimani Ichungwah na kiongozi wa wachache katika bunge hilo Junet Mohammed wakitaka kejeli zinazoendelezwa dhidi ya rais mitandaoni kuwa zilizovuka mpaka