- 125 viewsMajeshi ya Israeli Jumanne yameongeza operesheni zake huko Gaza City licha ya maonyo kutoka kwa viongozi wa Hamas kuwa mashambulizi yanaweza kuathiri mazungumzo yanayoendelea ya sitisho la mapigano. Jeshi la Israeli limesema kuwa wanajeshi wake walikuwa wanapiga katika eneo la Shejaiya na limeuwa darzeni ya wanamgambo. Ofisi ya Haki za Binadamu ya UN imeelezea wasiwasi wake Jumanne kuhusu operesheni hiyo na amri za hivi karibuni za Israel zimewataka raia waondoke. Shirika la UN lilisema amri hizo zilizotolewa Jumapili ziliwataka raia kuondoka kuelekea magharibi mwa Gaza City kwa usalama wao, na baadaye kushuhudia Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limeongeza mashambulizi yake huko. “Ofisi ya Haki za Binadamu ya UN imerejea kueleza wasiwasi wake kuwa amri ya IDF ikiwataka watu kuhama inakanganya, mara kwa mara ikiwaamirisha watu kuondoka kwenda maeneo mengine ambapo operesheni za kijeshi za IDF zinafanyika. Tunarejea wito wetu kwa Israel kufanya juhudi zote kuhakikisha usalama wa raia huko Gaza,” shirika hilo lilisema katika taarifa yake. Wapatanishi nchini Misri wanajaribu kufanikisha kile kinachotafutwa kwa muda mrefu kusitisha mapigano huko Gaza. White House ilisema Jumatatu kuwa maafisa wa Marekani wako Misri kwa majadiliano yanayolenga kupatika kwa makubaliano ya sitisho la mapigano kati ya Israel na Hamas. Wanamgambo wa Palestina waliwauwa takriban watu 1,200 katika shambulizi la kushtukiza na kuwachukua mateka wengine 250 mnamo Oktoba 7, 2023. Shambulizi la kulipiza kisasi la Israel liliofuatia limeuwa zaidi ya Wapalestina 38,000, kulingana na Wizara ya Afya katika eneo hilo, hesabu yao haitofautishi kati ya wapiganaji na raia. - AP, AFP, Reuters #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #wahouthi #marekani #uingereza #shambulizi #dhamar #yemen
Wapalestina
- 27 Nov 2024 - Detectives from the Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) on Tuesday arrested Henry Mwasaru, the Head of Human Resource and Administration at the Kenya Maritime Authority (KMA), over allegations of procurement fraud.
- 27 Nov 2024 - The National Treasury was on Wednesday put to task over anomalies of over Ksh.160 billion external debt repayment for the past three financial years.
- 27 Nov 2024 - Majority Leader Kimani Ichung’wah has called for greater protection and empowerment of local entrepreneurs, particularly in light of the country's rapid infrastructure growth.
- 27 Nov 2024 - The government has defended its ambitious livestock vaccination campaign aimed at combating viral diseases, despite opposition from some quarters.
- 27 Nov 2024 - Tanzania plans to honour its contracts with an Adani Group unit despite a U.S. indictment of its billionaire chairman Gautam Adani on accusations of bribery and fraud, a senior official at the ports authority said.
- 27 Nov 2024 - Angry residents of Kithogondo village in Ngurubani, Mwea, Kirinyaga County, blocked miraa vehicles from using the Mwea-Embu highway on Wednesday, following a tragic incident in which two children were killed by a speeding miraa truck on Tuesday.
- 27 Nov 2024 - The Orange Democratic Movement (ODM) grassroots elections have ignited a spirited contest for Nairobi's top leadership, pitting two seasoned politicians — Makadara MP George Aladwa and Westlands MP Tim Wanyonyi — against each other.
- 27 Nov 2024 - Kenyans might have to part with more money to visit parks after Treasury proposed a new levy.
- 27 Nov 2024 - KMPDU has ordered intern doctors to down tools in protest following the death of one of their own, Dr. Francis Njuki, who reportedly took his own life due to frustration from his job.
- 27 Nov 2024 - Nearly 24 Kenyans have been arrested in connection with a case of online credit card fraud that led to losses worth over Ksh.1.1 billion.