WARIDI WA BBC

  • | BBC Swahili
    1,454 views
    Ugonjwa wa mume wangu ulibadili maisha yangu ghafla'' Mke wa mwanamuziki maarufu nchini Tanzania Profesa Jay, Grace Haule Mgonjo anasimulia hali ya maisha yao ilivyobadilika baada ya mume wake kulazwa hospitali kwa miaka miwili