Washikadau wa mazingira waanzisha juhudi za kudumisha utulivu katika maeneo ya makaazi Nairobi

  • | TV 47
    23 views

    Katika Juhudi Za Kurejesha Utulivu Na Kudumisha Hali Ya Amani Katika Maeneo Ya Makazi Ya Nairobi. Mamlaka Ya Kitaifa Ya Kusimamia Mazingira (Nema) Pamoja Na Idara Ya Mazingira Ya Kaunti Ya Nairobi Ziliendelea Na Operesheni Ya Pamoja Inayolenga Kumaliza Kelele Inaofanywa Na Vilabu Na Makanisa Usiku.Operesheni Hiyo Iliongozwa Na Mkurugenzi Wa Utekelezaji Wa Nema, Pamoja Na Afisa Mkuu Wa Mazingira Wa Kaunti Ya Nairobi, Geoffrey Mosiria, Na Maafisa Wengine Wa Mazingira. Hatua Hii Ilifuatia Malalamiko Mengi Yaliyotolewa Na Wakazi Ambao Waliripoti Kelele Nyingi Kutoka Kwa Baadhi Ya Taasisi Hizo. Operesheni Hiyo Ililenga Vilabu Kadhaa Maarufu Katika Maeneo Mbali Mbali Jijini .

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __