Washukiwa 5 wafikishwa mahakamani nakuru kuhusu mauaji ya mwanaharakati Molo

  • | Citizen TV
    473 views

    Washukiwa watano wa mauaji ya mwanaharakati Richard Otieno watazuiliwa kwa siku 21 ili kutoa nafasi kwa Maafisa wa upelelezi kukamilisha uchunguzi wao