Washukiwa kwenye sakata ya KUSCO kukamatwa

  • | Citizen TV
    247 views

    Washukiwa zaidi wanaodaiwa kuhusika katika sakata ya Muungano wa Vyama vya Ushirika vya Akiba na Mikopo KUSCCO wanatarajiwa kukamatwa. Katibu katika Wizara ya Vyama vya ushirika Patrick Kilemi amesema uchunguzi umeonyesha kuwa maafisa zaidi walihusika katika sakata hiyo. Kilemi amewaonya viongozi wa Vyama vya ushirika dhidi ya kuhusika Na ubadhirifu wa fedha za wanachama