Washukiwa wa maandamano

  • | NTV Video
    475 views

    Vijana wawili wanaotuhumiwa kwa kushiriki maandamano ya uvujaji wa sheria kiambu walifikishwa katika mahakama ya Kiambu na kukana mashtaka matatu na kuachiliwa kwa dhamana ya shilingi Milioni 1 au mdhamini wa kiasi sawa na hicho au dhamana ya pesa taslimu ya shilingi 200,000 kila mmoja.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya