Washukiwa wanane wa wizi wa vipuri vya gari wakamatwa Kiambu

  • | Citizen TV
    586 views

    Washukiwa wanane wa wizi wa vipuri vya gari wanasubiri kufikishwa mahakamani baada ya kukamatwa hapo jana katika eneo la muguga, kabete, kaunti ya kiambu.