Washukiwa wanne wa utekaji nyara wafikishwa mahakamani Kangundo Machakos

  • | TV 47
    307 views

    Washukiwa wanne wa utekaji nyara wafikishwa mahakamani.

    Wannne hao walimteka nyara mpasuaji wa serikali wa zamani mwaka 2024.

    Wawili kusalia korokoroni na wawili waachiliwa kwa bondi ya milion 5.

    Wanne hao wanakabiliwa na kesi ya utekaji nyara.

    Walifikishwa katika mahakama ya Kangundo Machakos.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __