Wasichana waliotungwa mimba wakiwa wadogo watoa ushauri

  • | Citizen TV
    284 views

    Wasichana waliotungwa mimba za utotoni katika kijiji cha eshinamwenyuli eneo bunge la butere kaunti ya kakamega, wameungana na kuunda kikundi kimoja cha kuwashauri na kuwaelekeza wasichana wengine wadogo dhidi ya mimba hizo za mapema...wasichana hawa walichukua hatua hii, katika juhudi za kupunguza idadi ya wanaotungwa ujauzito wakiwa wachanga na kulazimika kuuacha masomo yao na wengine kuozwa.