Wasiwasi kuhusiana na utekaji nyara; Bunge la Mwananchi laitaka serikali kuingilia kati

  • | KBC Video
    12 views

    Vuguvugu la Bunge La Mwananchi limeihimiza serikali kushughulikia kwa haraka visa vya utekaji nyara vinavyoendelea kuongezeka nchini. Francis Owino, mwenyekiti wa Bunge la Mwananchi ambaye alikuwa akizungumza na wanahabari alishutumu ongezeko la visa ambapo raia wanatoweka, akitaja kuwa ni ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive