Skip to main content
Skip to main content

Wasomi wa jamii ya Wasabaoti wakutana Athi River

  • | Citizen TV
    293 views
    Duration: 2:07
    Wasomi kutoka Jamii ya sabaot kutoka kaunti za Trans Nzoia na Bungoma walijumuika katika eneo la Athi River Kusherehekea Nyimbo na tamaduni za jamii hiyo huku wakitumia jukwaa hilo kuhuburi umoja wao. Kwenye hafla hiyo ambayo pia ilihudhuriwa na viongozi wa jamii hiyo, waliozungumza wanasema jamii hiyo imekuwa ikitengwa kwa muda mrefu na sasa kuna haja ya wao kuungana ili wawe sauti moja hasa wakati wanatafuta nafasi mbali mbali za kuendeleza jamii. Pia kwenye hafla hiyo wasanii wa nyimbo za kiasili walipata fursa ya kutumbuiza waliohudhuria hafala hiyo ambapo pia umuhimu wa kudumisha mila na tamaduni ulisisitizwa.