Wasomi wa Samburu wataka doria kuimarishwa

  • | Citizen TV
    141 views

    Muungano wa wasomi Kaunti ya Samburu,umeitaka Serikali kukomesha visa vya wizi wa mifugo katika kaunti hiyo, mbali na kutafuta mbinu za kuwafidia wale walioathirika na uvamizi.Aidha wametoa wito Kwa viongozi wa eneo hilo kuwa kwenye mstari wa mbele kurejesha utulivu na amani ya kudumu.