Skip to main content
Skip to main content

Watawa wakimbia nyumba ya kulea wazee

  • | BBC Swahili
    10,785 views
    Duration: 59s
    Watawa watoroka nyumba ya kulea wazee na kurudi katika nyumba yao ya zamani ya watawa Sista Bernadette (88), Rita (81), na Regina (86) walitumia sehemu kubwa ya maisha yao katika nyumba ya watawa ya Kloster Goldenstein,kabla ya kuhamishiwa katika nyumba ya kulea wazee inayoendeshwa na kanisa 2023. Hawakuridhika huko, walitoroka na kurejea kwenye nyumba yao ya zamani. Bosha Nyanje anatuelezea kisa chao. #bbcswahili #watawa #kanisa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw