Watoto wadumaa Busia

  • | Citizen TV
    169 views

    Utafiti wa shirika la umoja wa mataifa la kushughulikia maslahi ya watoto UNICEF, umebaini kuwa asilimia kumi na tano ya watoto katika kaunti ya Busia wamedumaa kutokana na utapiamlo. Ongezeko la idadi ya watoto hao waliodumaa limeleta wasiwasi miongoni mwa wakazi na kuichochea serikali ya kaunti hiyo kuanzisha njia mbadala ya kuwatunza watoto hasa wa shule za chekechea #citizentvkenya #citizendigital