Watu 13 wamefariki huku wengine wakijeruhuwa katika ajali eneo la Kapkatet

  • | Citizen TV
    4,300 views

    Watu 13 wamefariki kwenye ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la Kapkatet kwenye barabara ya Kaplong kuelekea Kericho kaunti ya Bomet. Aidha ajali hiyo iliyohusisha magari matatu likiwemo gari la abiria imewaacha watu 11 wakiuguza majeraha mabaya na wanapokea matibabu katika hospitali za Kaplong na Kapkatet.