Watu 142 watuzwa kwenye sherehe ya mashujaa

  • | KBC Video
    23 views

    Baraza la kitaifa la kuwatambua mashujaa limesema kwamba liko mbioni kutekeleza mfumo wa kuwatambua wakenya ambao wamechangia maendeleo humu nchini na kimataifa. Afisa mkuu wa baraza hilo Charles Wambia, alisema utaratibu huu upo kwenye mpango wa kimkakati wa baraza hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive