Watu 8 wamejeruhiwa kwenye mzozo wa punde

  • | Citizen TV
    1,239 views

    Watu wanane wanauguza majeraha mabaya ya mishale kufuatia mapigano eneo la Kiango katika mpaka wa Kisii na Transmara. Mapigano hayo yamesababisha mashamba kadhaa ya miwa kuchomwa, huku mikutano ya usalama ikiandaliwa kutuliza uhasama kati ya jamii mbili zinazoishi eneo hili.