Watu 8 wameuawa kwenye mzozo wa kijamii Tana River

  • | KBC Video
    175 views

    Hali ya taharuki inazidi kutanda katika kaunti ndogo ya Bangale, kaunti ya Tana River kufuatia kifo cha watu nane jana usiku kutokana na mzozo kati ya jamii. Mzozo huo katika maeneo ya KBC, Charidende, Nanigi, na Anole katika kaunti ndogo ya Bangale ulisababisha kuteketezwa kwa nyumba 20. Komanda wa polisi wa kaunti hiyo William Sadiq, amethibitisha tukio hilo, akisema kuwa wameanza shughui ya kutwaa silaha katika eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive