'Watu hawaamini kwamba mimi ninaimba'

  • | BBC Swahili
    5,456 views
    Seif Salim Kassim Kisauji, 57 almaarufu 'Babu wa TikTok' @babloom_kisauji amekuwa akijipatia umaarufu katika mitandao ya kijamii hususani TikTok huku video zake zikiangaliwa na mamilioni ya watu. Regina Mziwanda @rmziwanda_official alifanya mazungumzo na 'Babu wa TikTok' na kuelezea masuala mbalimbali ya muziki wake na umaarufu mitandaoni. Pia unaweza kutazama mahojiano haya yote kwa urefu katika ukurasa wa YouTube wa BBCSwahili #bbcswahili #nyotawaafrikamashariki #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw