Watu sita wafariki kufuatia shambulizi la Alishabaab Garissa

  • | Citizen TV
    1,715 views

    Jioni hii hali imesalia tete katika eneo la Fafi kaunti ya Garissa, ambako watu sita wameuawa kufuatia shambulizi linaloshukiwa kutekelezwa na wanamgambo wa Al Shabaab.

    shabaab