Watu sita wamefariki kutokana na kipindupindu

  • | Citizen TV
    164 views

    Watu sita wamefariki kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ambao umeripotiwa katika kaunti tatu humu nchini. Taarifa kutoka wizara ya afya inasema kuwa watu tisini na saba wameathirika na ugonjwa huo