Watu tisa wameaga dunia wengine kujeruhiwa katika ajali Soy, Eldoret-Kitale

  • | NTV Video
    2,082 views

    Watu tisa wameaga dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea asubuhi ya leo katika eneo la Soy, barabara kuu ya Eldoret kuelekea Kitale, iliyoihusisha gari la abiria na Lori.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya