"Watu wametupa madaraka ya kishindo kuleta mabadiliko makubwa Washington"

  • | VOA Swahili
    402 views
    Rais Donald Trump ametangaza katika mkutano wa CPAC 2025, “Wananchi wametupa mamlaka ya kishindo kufanya mabadiliko makubwa Washington, na tutatekeleza maamuzi na kuyatumia, na tutaifanya Marekani iwe bora tena. Mkutano wa Hatua za Kisiasa wa Wa-Conservative 2025, CPAC, unaandaliwa kila mwaka na moja ya taasisi kongwe za kisiasa nchini Marekani, American Conservative Union wakiwa na mamlaka ya kuwaleta pamoja viongozi kwa mawasiliano. ⁣ #trump #cpac #voa