Gachagua Amtaka Ruto Kutozindua Miradi Ya Uhuru

  • | TV 47
    417 views

    Gachagua Amtaka Ruto Kutozindua Miradi Ya Uhuru

    Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua ameonekana kuvuruga eneo la Mlima Kenya siku moja kabla ya Rais William Ruto kuanza ziara yake ya kikazi katika eneo hilo.

    Gachagua sasa akimtaka Rais Ruto kutozindua miradi ya Aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta ila azindue miradi ya serikali yake.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __