Skip to main content
Skip to main content

Watu wanne wameaga dunia baada ya kuambukizwa Kipindupindu eneo la Trans Mara

  • | Citizen TV
    378 views
    Duration: 5:42
    Kikosi kinachojumuisha maafisa wa wizara ya afya, shirika la msalaba mwekundu na mashirika mengine ya masuala ya afya, kimeandaa mkutano wa kimkakati wa kuangazia mbinu za kudhitibi msambao wa maradhi ya kipindupindu huko trans mara magharibi. Kufikia sasa, watu wanne wameaga dunia huku wengine 40 wakilazwa hospitalini. Chripine Otieno anafuatilia taarifa hiyo na saa anaungana nasi mubashara kutoka hospitali ya transmara west huko Kilgoris kwa mengi zaidi