Watu Wanne Wapoteza Maisha Kwenye Barabara Ya Awasi – Kericho, Kisumu

  • | TV 47
    30 views

    Watu Wanne Wapoteza Maisha Kwenye Barabara Ya Awasi – Kericho, Kisumu

    Watu wanne wamefariki katika ajali kwenye barabara ya Awasi –Kericho baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo na kuingia kwenye mtaro.

    Miili ya wanne hao imepelekwa katika Chumba Cha Kuhifadhia Wafu Cha Othoo, huku polisi wakiendeleza uchunguzi.

    #TV47Wikendi #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __