- 3,895 viewsDuration: 26sTazama namna walinzi wa pwani wa Philippines wakiwaokoa watu wanne baada ya mvua kubwa iliyosababishwa na kimbunga Ragasa kusababisha mto kufurika. Tukio hilo lilitokea katika jimbo la kaskazini la Ilocos Sur siku ya Jumatatu. #bbcswahili #ufilipino #kimbunga Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw