Watu wawili wanazuiliwa na polisi Kisii

  • | Citizen TV
    1,294 views

    Watu wawili wanazuiliwa na Maafisa wa polisi baada ya kupatikana wakichanganya mbolea ya ruzuku na mawe pamoja na kemikali nyingine kwenye jumba moja kaunti ya Kisii. Watu hao ni miongoni mwa wengine wanaohusishwa na biashara haramu ya kukarabati na kupakia mbolea ya ruzuku kwenye magunia mengine na kisha kuwauzia wakulima wakidai ni mbolea inayotolewa na serikali