Watu wawili wauawa kwa kupigwa risasi na majambazi waliovamia basi la uchukuzi eneo la Samburu

  • | Citizen TV
    4,120 views

    Watu wawili wameuwawa kwa kupigwa risasi na majambazi waliovamia basi la uchukuzi katika eneo la Mbukoi Samburu kaskazini alasiri ya leo. Uvamizi huo kwenye barabara kuu ya Maralal Baragoi, umewaacha watu kumi wakiuguza majeraha ya risasi.