Watu zaidi ya 30 wafariki DRC kutokana na mafuriko, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    13,452 views
    Takriban watu 33 wameuawa katika mafuriko yaliyokumba Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, mwishoni mwa juma. Waathiriwa wengi nyumba zao zilisombwa na maji, wakati wa mvua kubwa ilionyesha usiku wa ijuma kuamukia jumamosi.